Safisha Pendezesha Dar es salaam, Ubungo tunaendelea kuupiga mwingi
DC Ubungo amewahimiza wananchi kuwa na malezi bora kwa maana ya kuzingatia makuzi bora ya watoto ili kuwa na jamii yenye watu wema na kupelekea kupunguza uharifu kwenye jamii zetu na hivyo kuwa na jamii ya watu wema.
Wilaya ya Ubungo imeazimisha miaka 58 ya muungano kwa kufanya usafi katika kituo cha afya cha Goba kinachojengwa kwa fedha za serikali zilizotokana na tozo za miamala ya simu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa