Kwa kipindi cha mwaka mmoja watumishi zaidi ya 800 wamepandishwa vyeo na kubadilishwa miundo ya kada mbalimbali. Ulipaji wa malimbikizo ya mishahara umeendelea kufanyika kwa watumishi.Pongezi kwa serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali watumishi
Mkurugenzi wa Manispaa ya ubungo kuelekea sikukuu ya wafanya kazi (mei mosi) 2022 amempongeza Mhe. Rais kwa uongozi wake uliotukuka pamoja na kuwapongeza watumishi wote wa Manispaa hiyo na kuwataka kuendelea kuwatumikia wananchi ipaswavyo.
Wananchi wote wa Manispaa ya Ubungo mnaombwa kushiriki tukio hili muhimu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa