WAPIGA DEBE WAONDOLEWA KITUO CHA BUS MAGUFULI TERMINAL KILICHOPO MBEZI
Wilaya ya Ubungo imeazimisha maazimisho ya siku ya wanawake duniani kiwilaya, ambapo maazimisho hayo yamefanyika ndani ya jengo la ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ambapo wananchi, viongozi na wajasiriamali mbalimbali walihudhuria.
Ewe mwananchi toa maoni, malalamiko, pongezi na ushauri ili kusaidia viongozi kuendelea kutoa huduma bora zenye tija na maslahi kwenu.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa