Wilaya ya Ubungo imeazimisha maazimisho ya siku ya wanawake duniani kiwilaya, ambapo maazimisho hayo yamefanyika ndani ya jengo la ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo ambapo wananchi, viongozi na wajasiriamali mbalimbali walihudhuria.
Ewe mwananchi toa maoni, malalamiko, pongezi na ushauri ili kusaidia viongozi kuendelea kutoa huduma bora zenye tija na maslahi kwenu.
Ewe mwananchi hakikisha una kibali cha ujenzi kabla ya kuanza ujenzi wako ili kuepuka gharama na majanga mengine ambayo yanaweza kutokea. Ujenzi salama, msingi imara.
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa