Changamkia fursa kama Vijana wa kikundi cha Kibamba Youth Enterpreneur kilichopo Kata ya Kibamba Manispaa ya Ubungo
Wafanyabiashara wote Mnakumbushwa kulipa Ushuru na Tozo Mbalimbali za Halmashauri kama sheria ya Biashara inavyoelekeza Ikiwemo Ada ya Leseni na Ushuru wa Huduma.
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kheri James amemshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha shilingi Billion 3.44 za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa