Akipokea Vifaa hivyo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic ameushukuru Uongozi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kwa jitihada walizoonyesha kwa mchango mkubwa wa Vifaa hivyo ambao utawanufaisha wananchi wa Wilaya ya Ubungo.
Manispaa ya Ubungo inaendelea kutoa wito kwa machinga na wafanya biashara wote kufanya biashara zao kwenye maeneo rasmi yaliyoelekezwa.
Juu ya Ufugaji unaozingatia lishe bora kwa Mlaji
Hakimiliki@2017 Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.Haki zote zimehifadhiwa